Uzi wa vyakula tu

Nakuunga mkono. Kande ni chakula Cha hovyo kwa mtazamo wangu tokea dunia iumbwe. Mara ya mwisho kula kande ni 2005. Tena nilikula vijiko 2 tu
Kande hata zitiwe nazi 7 au 8 mimi SILI. Heri nichemshe viazi nikate na kachumbari nile ila sio kande, kande ninazichukia vibaya saana.
 
Unankumbusha jamaa yangu nlisoma naye sekondari. Yeye alikuwa hana stori za mpira, mademu, shule wala nini ni MISOSI tu na good time za milo alizowahi kuwa nazo before baas. Hadi leo akiwa mhasibu wa taasisi kubwa tu KULA ndio jambo pekee linalomgusa maishani na hajaoa.
 
Na siku akioa atakonda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…