Tafuta mtu wa kuishi naye anaweza kukuhamasisha kupika tengeneza na mazingira ya kuvutia jikoni mwakoNaishi mwenywe, yap napenda kupika but nowadays nmekuwa sijisikii kupika
Tafuta mtu uishi nayeNaishi mwenywe, yap napenda kupika but nowadays nmekuwa sijisikii kupika
Tafuta mtu uishi naye
Hata housegirl
Asante Mammy🥰
Hapo mbolea toilet inatoka km kisamvu😁
Jitahidi pia kusocialize na watu hata huku mitandaoniNitazingatia hili
Oi hiyo ni Castle Milk?