Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Mara moja moja mkuu
Kula be free life ni moja tu
hellow madam.
hellow madam.
Kula mbogambogaJe sisi tunaotaka kupungua tufanyeje jamani ni vyakula gani tunapaswa kuzingatia hasa kwenye ulaji wetu wa kila siku!!
Fasting ndo niniKula mbogamboga
Fanya fasting
Usiku unapika mboga mboga tu zileFasting ndo nini
Hii nyama ya nini?
Nipe maelekezo boss wangu uzito umenielemea vip kwani samaki nao wanaongeza uzito madamUsiku unapika mboga mboga tu zile
Changanya brocoli,kabichi hoho carrots nk
Kula na matunda tu.
Halafu unakuwa unafast.
Unafunga yaani Kuna siku hili chochote kutwa nzima,Unakula usiku tu.
Kuna diet Fulani wanaita diet ya mauaji ,itest Ile.
Ndani ya miezi miwili tu utaona matokeo.
Na pia tunaomba kuifahamu iyo diet ya mauwaji ikoje ili na sisi tuijadili angalau tuweze kupata nguo nzuri za kuvaa maana daah mtu unavaa nguo unafanana na gunia aseeUsiku unapika mboga mboga tu zile
Changanya brocoli,kabichi hoho carrots nk
Kula na matunda tu.
Halafu unakuwa unafast.
Unafunga yaani Kuna siku hili chochote kutwa nzima,Unakula usiku tu.
Kuna diet Fulani wanaita diet ya mauaji ,itest Ile.
Ndani ya miezi miwili tu utaona matokeo.
Michemsho ni mizuri piaNipe maelekezo boss wangu uzito umenielemea vip kwani samaki nao wanaongeza uzito madam
Mafano akama nakula samakinwa kuchemsha labda na ndizi za kuchemsha mbili tu kila siku asubuhi na jion vip apo nawepa kupata matoke mazuri madamu
Iliwahi tumwa humuNa pia tunaomba kuifahamu iyo diet ya mauwaji ikoje ili na sisi tuijadili angalau tuweze kupata nguo nzuri za kuvaa maana daah mtu unavaa nguo unafanana na gunia asee
Michemsho ni mizuri pia
Ila ukitaka matokeo ya haraka kula matunda tu.
Sasahivi tunaenda Kwaresma kwa Wakristo
Na Ramadhan sijui wanaanza lini.
Hivi vipindi ni vizuri sana kwa kulose weight
Jaribu uwe unafast.
Anza taratibu unafast siku 1,I unaruka
Hivyohivyo
Baadaye ukizoea unakuwa unafast mfululizo hata wiki
Tumbo na manyama uzembe yote yanapotea.
HamnaHamna hatari ya madonda ya tumbo kweli hapo??
NimetamaniKazi ya mikono yangu najifunza nipo darasani....Before and afterView attachment 2523520View attachment 2523522View attachment 2523523View attachment 2523524