binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Nakuona tu unapapalikia vyakula vya mjini
Habiby, food tester nipo hapa. Ndio vitu vyangu hivi! [emoji39][emoji39][emoji39]Karibu, nipo nafundishwa na bimkubwa kupika biscuits zikiiva nitaleta mrejesho then kesho nitapika peke yangu. Nitajifunza na keki niwe pro kama wewe huwa unanitamanisha kweli yaani.View attachment 2523546
[emoji24][emoji24][emoji24]Kwanini hukunialika![emoji2365][emoji2365][emoji2365][emoji1493][emoji1493][emoji1493]
Hizo za kijani kama mbaazi huwa zinaitwaje nazipenda sana kuzilaGood morning View attachment 2524722
Umenunua au umepikaView attachment 2525099kula tuletutoke
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 2524844
From esha's buheti
Maana halisi ya Kata simu tuko site
Leo umepikaSamaki mbichi aliyeungwa [emoji39]View attachment 2526479
πππ napikagaLeo umepika