Green beansHizo za kijani kama mbaazi huwa zinaitwaje nazipenda sana kuzila
5 ndo yanabakia
10 uliyovunja, ndio utayakaanga
10 mengine utayachemsha
5 ndo yatauzwa
Eggcellent! 😀15 eggs
No 4 🤩View attachment 2526925
Yako ni namba ngapi au yako haipo kabisa unakula unasaga hadi mifupa
No 4 [emoji2956]
Namba yangu haipoView attachment 2526925
Yako ni namba ngapi au yako haipo kabisa unakula unasaga hadi mifupa
Namba yangu haipo
Itakuwa 5 au 6 kulingana na kuku
Namuachia 🐈Mshua[emoji16] hako kamfupa unakuachia nani
Namuachia [emoji250]
Mbona dagaa mchele kama hujazigusa