Safi lete ingine
Mpunga binti kiziwi unisikie lete mpunga hapoπ€
Ubwabwa ingependeza zaidi.
wanaume mnapenda ubwabwa aisee, hata Babu Kijana naye amesema hivyo hivyo.Ubwabwa ingependeza zaidi.
Sawasawa babu kijana.Mpunga binti kiziwi unisikie lete mpunga hapoπ€
Ugali
Hivi vitunguu Nimepata njaa
Ugali mkuu twende sawasawa
ππ hizo kitu ni really?
Mie io ya pilii ioπππ
Ndioo πππ hizo kitu ni really?
ikolee ndimu na kapilipili flani hivi amaizing[emoji39][emoji39]