Uzi wa vyakula tu

Wanaitwa blue fish
Wekundu wataitwaje blue fish?
Hao wekundu ni red snäpper au changu mwekundu.
Blue fish ni samaki mwingine Kabisa na nafkiri ndio bora zaidi ingawa sio maarufu maana ni adimu kumpata
Mapishi yake Sana km utatengeneza Ceviche au supu ramen au sushi sio mchuzi wala kukaranga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…