Dengu ni tamu jamaniOur favorite kwa familia yetu pia π
ππikiiva vizuri ni tamu na kiuchachu kwa mbaliiiiNi tamu?nishawah nunua zilikuwa chachu mwee
YahMaharage yanachosha nami hupika ndegu pia nafunga kiasi napaki siku nyingine mnakula ndengu na wali
Umeweza ehhhhh?We niponze! π
Wapi huko mkuu, mbona unyama sana.Supu ya utumbo 2000View attachment 2502707
Umetengeneza mihogo mwenywe?
Yeah...Umetengeneza mihogo mwenywe?
[emoji39][emoji39]
imekosekana juice baridi ya embe na parachichi[emoji39][emoji39][emoji39]