BWANA WANGU
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 337
- 797
🙄Kuna wengine wanakula kenge wanasema samaki mbulu sijui
Acha visingizioView attachment 2555527
Ugali umenichenga leo ingredient zimegoma
[emoji23][emoji23][emoji23] ila umeiva
Huo unaitwa ufundi mangungo kama umechemka[emoji1787][emoji1787]Aisee nilitaka kujaribu ufundi kisha nitupie hapa..[emoji23] nimechemka
Sasa kama huyu wanampa nyoka watashindwa kweli?Huyu samaki anaitwaje wakuu.
[emoji23]View attachment 2555527
Ugali umenichenga leo ingredient zimegoma
[emoji23][emoji23][emoji23] ila umeiva
huyu mbn kama nyoka[emoji849][emoji849]siwezi hata msogeleaHuyu samaki anaitwaje wakuu.
Kwetu tunamwita Mkunga. Sijawahi kumla lknHuyu samaki anaitwaje wakuu.
Kweli jamaa mpk anaboa mnooChief tupunguze picha za kudownload kidogo
[emoji23]
Mmh hivi vyakula huwa vina malengo yake