Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Kwa kweli nimeona nichangie tuUtajafunga ila tunafuturu, mpaka mwezi uishe tumekua vifutu[emoji23][emoji23]View attachment 784564
Sijui wenyewe wenye mfungo wao mimi ni mualikwa tu wa futari.Kwa kweli nimeona nichangie tu
Watu wengi wanapoteza mda mwingi kupika vyakula vingi ambapo ndio tumejifanyia utaratibu huo wa kula kula tu mwezi wa toba
Lakini kuna mataifa mengine nimewaona wanatengeneza vitu simple kama fruit salad na maziwa waliochanganya na ladha tofauti.
Hiyo inawapa mda hata kina mama wafanye Ibada zaidi na kumuomba Mungu sana.
Kwani ni mwezi wa toba na kuomba sana sio Kula sana
Hahaha poaSijui wenyewe wenye mfungo wao mimi ni mualikwa tu wa futari.
Sio vema kutamanishana sana[emoji12][emoji12]View attachment 784755
Kwenye sahani nyeupe hayo ni mavi au?
Kiepe kama kimechemshwa [emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi..Leo chef ni mimi mwenyewe kiepe yaiView attachment 757975
Doh hatari hizi chapati unaweza zila bila chai
[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Naomba unipikie keki