Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
Wow π₯°Depal njoo uone wali wa microwave sasa...
View attachment 2607524
Niliweka 8min kwanza....View attachment 2607527
Ukatoka bado mgumu kidogo....ππΏView attachment 2607528
Nikaongeza maji kidogo, nikafunika alafu nikaweka dakika 5View attachment 2607529
Microwave safe plastics ndo nzuri.Wow [emoji3059]
Kontena umetumia platic ngumu au tu hata la kawaida?
Ahsante H.Microwave safe plastics ndo nzuri.
Ukitumia hizi nyingine utakuta zimeyeyuka
ndio huo ambao haushiki mafuta yan km kitumbo[emoji848]
Vya kukaribishwa/ kudoea, uwa tunachukua vile vya kutafuna chap chapur wellcome,kuna kipande cha kuku wakieyeji hujakiona?
πππWow π₯°
Kontena umetumia platic ngumu au tu hata la kawaida?
π€€π€€π€€
Ni yenyewe ππ€€π€€π€€
Hii ni nyama pendwa ??? Ya nazi???
Ilikuwaje??
Mie nimezoea kwenye mchuzi, ila inaweza ikanoga kwenye roast kweli. Will try one of these days.
Umeolewa??Tule sasa [emoji23]
View attachment 2608807