Yes, kama microwave yako ina grill.
Kuna ambazo ziko za kupasha tu.
Na nyingine kupasha na kuchoma.
Anza kujaribu grill. Tumia chombo chenye material ya bati.Yangu ina Vitu ving
Grill
Bake
Sijui Vitu gani
Ila sijawahi kufanya
Kwanza nimegombana na ngano [emoji28]
Huu ni ulimi?