Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Ishafyekwa kitambo[emoji28][emoji39]
Mkuu hilo ni bozemba au
Ndio nini....?Mkuu hilo ni bozemba au
Wali wenye viukoko kwa mbali ndo tunaita bozemba[emoji28][emoji28]Ndio nini....?
Salad makini hii😋😋
Bado sijamaliza nyingine ntamalizia baadae[emoji28]
Njoo uchukue nilikula pieces 3 tu nikafloat wahi mapema kabla sijapata njaa tena[emoji28]
[emoji2][emoji2][emoji2]Shukrani sanaNjoo uchukue nilikula pieces 3 tu nikafloat wahi mapema kabla sijapata njaa tena[emoji28]
Alah kumbe!!! Sie wengine kiswahili hatujui.😁Wali wenye viukoko kwa mbali ndo tunaita bozemba[emoji28][emoji28]