Umechemsha kwenye jiko la mkaa?
Shafika kipenzi njaa😋Kuliwa wataliwa tu 😁😁View attachment 2638226
Enhee sasa umenikumbusha ninayo hayo ngoja nikachemshe😋
Ulikula mahindi na ubwabwa?
Noo 🤣Ulikula mahindi na ubwabwa?
Depal😄
Okay, hiyo kombi sikuielewaNoo 🤣
Huo wali ni nyumba nyingine, na mahindi ni nyumba nyingine…
[emoji39]kombo ya wali maharage haijawahi kupingwa tangu dunia iumbweKiwali changu kidogo dogo Usiku ukapita.View attachment 2644702
[emoji28][emoji119] halafu kiwali hicho na maharage yake vina Nazi Mimi tangu mtoto huniambiii kitu hapo.[emoji39]kombo ya wali maharage haijawahi kupingwa tangu dunia iumbwe
Shafika mammy njaa kweli hapa nadoea kidogo tu. 🙏
Nadoea dear hiki kinatosha kabisa najua humalizi mwenyewe