babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Mbona kama portion ya siku mbili we unasema kidogodogo?Kiwali changu kidogo dogo Usiku ukapita.View attachment 2644702
Asante mammy lolo najitafuta hapa.
Nmeona asee harage limekolea nazi[emoji28][emoji119] halafu kiwali hicho na maharage yake vina Nazi Mimi tangu mtoto huniambiii kitu hapo.
Aina ya msosi naotamani kula muda huu
Karibu!!!Aina ya msosi naotamani kula muda huu
Wanawake wanaojielewa