Apeche alolo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2023
- 2,517
- 5,533
kitu cha kilingeni baada ya huduma ya kumchinja myama
Pound za kutosha kumove mzigo[emoji16]
Shafika mammy nadoea njaa😁
Hizi nyama nimetamani nyie [emoji24]
Chakula Cha hivi nina muda sijakula mwee
Njoo nikupikie!!Hizi nyama nimetamani nyie [emoji24]
Mi pia😵...mpaka nikazidisha portion ya ugali kisa ulafi!Chakula Cha hivi nina muda sijakula mwee