Yapoje yapoje? Maana kuna wanao weka green onion, coriander (majani ya giligilian) nkNauliza, yale majani yanayotiwa kwenye yai yanaitwaje?.
Hapo ndiyo sijui, maana naonaga tu yai lililokaangwa ndani yake kuna vitu kama majani.Yapoje yapoje? Maana kuna wanao weka green onion, coriander (majani ya giligilian) nk
Bas itakuwa moja kati ya hayo au yote kwa pamojaHapo ndiyo sijui, maana naonaga tu yai lililokaangwa ndani yake kuna vitu kama majani.
Kwahiyo majani ya vitunguu yanaliwa au ni aina nyingine tu ya vitunguu?.Bas itakuwa moja kati ya hayo au yote kwa pamoja
Hapo kwenye aina ndio sijui ila ni kama vile vitunguu ambavyo havijakomaa badoKwahiyo majani ya vitunguu yanaliwa au ni aina nyingine tu ya vitunguu?.