[emoji23] [emoji23] [emoji23]Inaitwaje sasa hii? Chips maua au?
Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee tupia tuu kiwe kibaya au kizuri leta tu hapa, tuwatamanishe watoke miudenda wale kulakula[emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 566179View attachment 566180
Sent using Jamii Forums mobile app
Excuse me hatukuumbwa kula mboga tu. Mimea. Ndio maana tukapewa uwezo wa kumeng'enya mavitu mbali mbali, zikiwemo nyama.Healthy eatingView attachment 821258
Missyrose nakulipa kwa hii...Before and AfterView attachment 831116View attachment 831117
Missyrose nakulipa kwa hii...View attachment 831513
Tuonee huruma dada!!
Hiyo mboga ni mlenda??
Msizidishe ufundi hamjui wengine tuko wapi[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]na tumeshindia niniMissyrose nakulipa kwa hii...View attachment 831513
Nimekitamani sana
Hizi ndo chapati...zingine ni mifano tu ya chapati
...Weekend hiyo Mdogo Mdogo