Hii id inanichekesha 🤣🤣🤣 sema basi tu acha ninyamaze.
Duu watu wanaishi bana weee.
kongoro la mdudu?😱. Niko vzr sana
Nilikuta hii moshi kiborloni alooohkongoro la mdudu?😱
Endelea kunyamazaHii id inanichekesha 🤣🤣🤣 sema basi tu acha ninyamaze.
ujue najiulizaga sana unavokula vizuri hivi inakuaje haujawa bonge?Good afternoon totoo mshamba_hachekwi View attachment 2774410
nikimaliza kula nakunywa malimao 😄😄ujue najiulizaga sana unavokula vizuri hivi inakuaje haujawa bonge?
Depal sikupatiGood afternoon totoo mshamba_hachekwi View attachment 2774410
ngoja kwanza na mimi ninywe malimao nipunguze haya mashavu😆Nikukute kule na ur new look ya after likizo.
Uwiii