Uzi wa vyakula tu

Hapana mkuu mimi ni mzee wa masotojo yaani kwa kila mboga yangu sitaki ikose nyanya chungu,nyanya,karoti,hoho, onion, na bamia au biringanya
Nisamehe mkuu ntakua nimekuchanganya sijui na member Gani? Ila Itscharlie Nina uhakika nae, ana pacha wake sijui nani aisee Hawa raia kwenye wali(ubweche) huwaambii kitu aisee
 
Kuna jamaa Itscharlie ndege JOHN sijui na nani aisee Hawa majamaa wanakula walii Kila siku Kila mlo

Mimi napenda ubwabwa mkuu we nipikie hata mwezi nautandika na mboga yangu kuu mimi ni maharage sio kwa ugali wala kwali yanaenda ila sio siku zote ndio nakula wali tu kuna siku nabadili sema muda mwingine sipostigi humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…