HahaWizo haka ka slesi kamoja unashiba kweli au ushabugia slesi nyingine[emoji3]
Haha
My wiwi!! Hako nilikapiga fasta, wakati sufuria ya ugali iko jikoni inachemka.
Mwanza wanauza huu mchele 3000 kamili
Hata sokoni waweza kuwa 3000Mwanza wanauza huu mchele 3000 kamili
ahaaa nilisahau boss samahani sanaHata sokoni waweza kuwa 3000
Mimi nimechukulia place ambayo iko expensive kdg.. village supermarket
Sokoni mbalii
Kisa unakaa magetoni ndo unajipakulia kingi😂