Uzi wa vyakula tu

Nimeenda kuzoom

Hapo sasa embe limekamilima.

Mate yamenijaa.


Aahahahaha msimu umeanza.
Unaenda sokoni unaunua pakti ya pilipili unga nunua maembe yako hayo ya kula na pilipili hata 10rudi nayo nyumbani unakula moja moja na pilipili huku unachanganya na chumvi uwiano unaotaka.

Kabla hayajaisha au yakibaki 2 unaenda tena sokoni kununua mengine 10.

Raha jipe mwenyeweee πŸ˜‹πŸ˜‹.
 
Huku vijijini tunachumia tu maembe kwenye miti
 
Anayejua namna ya kuandaa veggie nyumban.
makolokolo ya kuweka
Nikila kama kule cape town fish market nashindwa kuhamishia ladha kwangu
 
Anayejua namna ya kuandaa veggie nyumban.
makolokolo ya kuweka
Nikila kama kule cape town fish market nashindwa kuhamishia ladha kwangu

Kama ni steamed nunua steamer inatoa vizuri
 
?y?y
weeee zombiiiii
simba la masimba dangote
z-=?'?x?f'xx'?x-?xd6?x??z''6?fffxfxfftfftfffdx'x'?zx[emoji343][emoji343]ff?ffdffrfftffcttftffftc?yyy7yuyuhyhhy7yyyyyyyyy7yydΔ‘bryhy?yyg76y?gzy7tfxt Γ§Ε₯f??
 
maembe ya kienyeji jau, nyuzi zinabaki kwenye meno

Hizo nyuzi zikiingia kwenye mfumo wa chakula ni dawa...

Wenye lugha yao wanasema fibre, helps on digesting the food smoothly.

Na wataalam zaidi wanashauri, kula mmea halisi uutafune kwa meno na sio kuusaga na mashine (blender).

Nasubiri madodo yachanganye nikule mdondo, embe love sukari hadi kokwa.

Kujua nanasi la kienyeji sasahivi ni mtihani....πŸ€”πŸ€”πŸ€”

Wachuuzi wabaya sana, waangalia pesa inayoingia mifukoni mwao na si afya ya mlaji....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…