Hii Combo na iheshimiwe na Watu wote. 🙌
nestle, uji, cornflakes....
nestle, uji, cornflakes....
depal depal depal
mimi nakula mataputapu🤣Sijawah kuona picha yako humu kwani we huwa hauli[emoji3]
mimi nakula mataputapu[emoji1787]
huoni watu wanaapost vitu vitamu
mara moja moja nawekaga mbona😂 pita pita huko juuTuyaone hayo mataputapu[emoji81][emoji81] vinginevyo utakua mchoyo tu hautaki watu tule kwa macho eeh
mara moja moja nawekaga mbona[emoji23] pita pita huko juu