usiniambie kuwa hapo ndo umeshamaliza kula
Nilitakawa nimalize kila kituusiniambie kuwa hapo ndo umeshamaliza kula
wanawake mna masikhara sana kwenye maakuli
pole.hata ningemaliza huo msosi wote bado nisingeshibaNilitakawa nimalize kila kitu
Mi nilishiba na hapo mbona nimekula sanaaapole.hata ningemaliza huo msosi wote bado nisingeshiba
daktari...........unawezaje kula wali kwa kutumia uma