babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Lizzy karudi🤷♂️🎄🎁🍾
Hii staili ukitaka usipunjwe chipsi, agiza hivi yani yai pembeni.Vya asubuhiView attachment 2848811
KabisaHii staili ukitaka usipunjwe chipsi, agiza hivi yani yai pembeni.
Mi sili nyama bila ngozi ,lete msosi wa sikukuu hapa usintanie[emoji319][emoji320][emoji898]
Nitunuku keki ya mwaka mpya jamani
Karibu tule fruits cake😁Nitunuku keki ya mwaka mpya jamani
Watu mna mbinu.. sasa ukikuta kavu ndo ziko jikoni bado kuiva?Hii staili ukitaka usipunjwe chipsi, agiza hivi yani yai pembeni.
na tuzo ya mapichapicha kwa mwaka huu 2023 inakwenda kwa...........