duh, mpaka nimeona wivu mkuu
Kwanini😂?duh, mpaka nimeona wivu mkuu
I see...I seeee!!!!!!!😉😍
salad inaonekana tamu hiyo imefanana na cobb saladKwanini😂?
Hamna wewe hivi vitu vipo😂salad inaonekana tamu hiyo imefanana na cobb salad
vitu ninavoviona youtube tu😂
Long time aisee, umejificha wapi
ongeza wali bana dr lizzy
Nipo mbona…
Happy new year..
Hawa samaki wa nazi mnawapikaje? nataka kuagiza samaki ila i doubt kama nitaweza kuwapika kwa nazi
sifahamu mkuu mimi nimenunuaHawa samaki wa nazi mnawapikaje? nataka kuagiza samaki ila i doubt kama nitaweza kuwapika kwa nazi