Yaani siwezagi kuelekeza mapishi😂
Muhimu nazi iwe ya kutosha,, lazima litoke sotojoHawa samaki wa nazi mnawapikaje? nataka kuagiza samaki ila i doubt kama nitaweza kuwapika kwa nazi
Huu hapa 🙂ongeza wali bana dr lizzy
supu, mtori?
Mtori wewesupu, mtori?
nyama za uchokozi
Depal ungejua nnavyohitaji hii supu sa hii,at least nanywa na macho😋
Hamna kuongeza wali Dr Lizzy,portion yetu ni ileile tuliyoingia mkataba wa Geneva👆.ongeza wali bana dr lizzy
Hahaa nakusevia hapo soon, kaa mkao wa kulaDepal ungejua nnavyohitaji hii supu sa hii,at least nanywa na macho😋
Kipenzi nna njaa sio ya nji hii kha,mpaka nife ndo unisikie😁