Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Hii kitu nimekula Jana
Huu msosi bila shaka kapika mwanaume
Nielekeze basi inapakana na nini?Karibu mkuu kuna restaurant flani iv ipo kkoo ni ya wa Kongo huwa naenda kula hapo nkiwa na mishe ya kkoo huwa wanapika vyakula dizain kama vya kwao
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajui ladha ya mseto ati?Hii kitu nimekula Jana
Dogo akasema, nikipika tena niondoe maharage niweke nyama
[emoji252] [emoji479]
Si unajua watu wa msituni na nyama