Uzi wa vyakula tu

Jamani eeh. Najua wengi wenu humu ni wazoefu wa vifaa vya electronics vya kupikia. Sasa mimi ninatafuta kifaa ambacho kina matumizi matatu, kubake, kuchoma na kupasha at the same time. Jana nmeenda kuulizia madukani naona wananipiga sound tu ili ninunue, nmekuja kwenu wazoefu sasa mnielekeze ikiwezekana na picha kabisa.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…