Sijui lini nile ugali ππ
We hujakua serious tu πSijui lini nile ugali ππ
Bado sijafanikiwa
nimegundua huu uzi sio wa kuingia kama una njaa au huna hela
nimegundua huu uzi sio wa kuingia kama una njaa au huna hela
tunatesana kihisia
πππ nashangaza eheeWe hujakua serious tu π
ππ shaka ondoa. Nyama zao ziko makini sanaView attachment 2966221Depal naomba siku nikija Arusha uniambie hii steak nikale wapi. It looks amazing!!! π€€ π€€
Aisee yametulia sana
Just shows we sio mpenzi kihivyo. Mi nisipokula muda mrefu naumiss!π₯΄πππ nashangaza ehee