Hadi nimedinda yaani.
Makitu gani hayo umechanganya na nyanya? [emoji848]
Eeeh huu ni msosi tena wa maana.
Thubutuu 😁Breakfast 🤣
[emoji39][emoji39]
Ila mwenyejii huu utani na tumbo, wallah.
Embu tuone portion yako kwanza 😁Ila mwenyejii huu utani na tumbo, wallah.
Daaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] had kesho mchanaa, ntakuonesha portion angu.Embu tuone portion yako kwanza [emoji16]
Wacha weeYan sahvi kila nikila kiepe nakukumbuka
Ila kama ni kula maisha wewe hornet unakula
Dr unapambana kumaintain Ile hourglass physique
Kawaida mkuu mara nyingi nakua nje ya nyumbani so lazima nile mtaani😅Ila kama ni kula maisha wewe hornet unakula