Naelewa sana vyote unavyokula..top notch.
Naelewa sana vyote unavyokula..top notch.
Hahaha..Post basi ulichokula leoDarmiiii....ππππ
Truth or Dare....π π π π π.
Hahaha..Post basi ulichokula leo
Nipo hapa waiting..Hakuna shaka kama kawa kama dawa...ππ
Niko sehemu sehemu, ntaposti baqda ya masaa 10 au 12 hivi....π.
Nipo hapa waiting..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareee tupuu.Hiyo juisi ya jamba ikoje? Ukiinywa unajamba?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yes Sir...[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
View attachment 3021059
Uncontrollable......[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji100][emoji100][emoji100]
Iko wapii hii bibi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukisikia inavyotamkwa sasa....[emoji38][emoji38][emoji38]
Ila ni tamuuu....[emoji39][emoji39][emoji39]
Kumbi kumbi hawa, [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 3022641
Maghimbi kikaangoni
View attachment 3022642
Maghimbi sahanini na madikodiko mengine...
View attachment 3022643
Maghimbi oniflikii....[emoji39][emoji39][emoji39] na bamia pembeni.
Hizi za kitambo nilishaziweka humu.
Kun siku nilipika maghimbi na maharage ila hayakutokea vizuri.... mwiko ulinitupa mkono....[emoji19]
View attachment 3022645
Hayo hapo...
[emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 3023494
Hoti dogi na oven baked potato vimenyunyiziwa paprika powder cheese na ndimu...[emoji39][emoji39][emoji39]
Pilipili kwa pembeni zilinishinda kumaliza...[emoji12]
View attachment 3023496
Hapo nimeongeza mamboga mboga carrots zucchini cauliflower onions and brocoli garnished by garlic [emoji39][emoji108].
Leo mkono ulikuwa sambamba na mwiko, msosi ulikuwa mtamu kunoga....[emoji4].
View attachment 3023498
Tikiti maji lilifunga safari ya mlo, na lenyewe lilikuwa tamuuu [emoji39].
Ashukuriwe Maulana kwa kujaalia Neema kubwakubwa na Ndogondogo.
Kama ambavyo jembe halimtupi mkulima, ukiwa makini jiko halimtupi mpishi [emoji6].
I love eating and I love cooking though not all the times.
[emoji1635][emoji1635][emoji1635].
Iko wapii hii bibi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Natamani kufikaa.
huyu ataweza kumaliza chote hicho