Uzi wa vyakula tu

Butrer nut squash ndio manini hayo wewe? Mie nataka pumpkin soup...nilipata hiyo ndani ya emirates business class nikaipenda sasa nataka mpishi wa ukweli anitengenezee

Ahahahahaa haipishani na boga, lugha tuu ila ni jamii ileile.

Kuna dada hapo juu amekwambia yeye ni mpishi wa hiyo supu ya boga, kazi kwako.

Ni mlo mzuri sana ukiwa una baked roll pembeni πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…