Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
Naitaka hii KasieView attachment 3127100
Hii supu haikuwa tamu hata....!!!πππ
View attachment 3127103
Niliendelea kuinywa na kuimaliza sababu ni healthy soup... nafaka zimechanganywa na nyanya na mbogamboga na kuchemshwa.
Duh hizi speed zimeiva kweliπ€£π
Hiyo juu haina mpinzani,mchuzi mate