Uzi wa vyakula tu



You only have today....
You only have now...
Eat... 😋😋😋

Shikirimu ya Balesa taamuu...😋😋😋😊😊

Aahahaaahaha nimekumbuka watoto wa Mbagala kwetu wanavyoimba mtqani wakiwa wanacheza....

"Nipeleke nipelekee, waapiii kwa Baresa
Kwa Baresa kuna nini, konii kwa mrija
Wanatengeezea nini, majii ya mferejini
Kwanini mnakula, weeeh... yazidi sukarii...😋😋😋

Sukari tamu bwana, asikwambie mtu.

NB: Kula kwa angalizo la afya yako 😉.
 

Hii nilienda kuongeza ya pili, second round yaani.some more...😅.

Aloo hii kitu niliidharau... wanaiita cinnamon cream roll woooh it was damn yummy 😋.



Acha kabisa, hapa unakiuza hivi najiona...😁



Nilifuta ushahidi, nikamaliza yoteee...😋😋😋
Sikutaka kuwapa kazi watu wa recycle.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…