Huu ni ubende?
Nimetamani hizo snickers [emoji39][emoji39]View attachment 3237351
Mwenye hii kiwanda ya Snickers anataka kuniharibu meno.....[emoji3064][emoji3064][emoji3064]
I just can't control my watering mouth whenever I see a bar of snickers.
The sweetness is the genre [emoji39].
Samaki wako [emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji2772] iko [emoji91][emoji91]
Nimetamani hizo snickers [emoji39][emoji39]
Twix na KitKat unazipenda pia?View attachment 3237351
Mwenye hii kiwanda ya Snickers anataka kuniharibu meno.....π₯Ίπ₯Ίπ₯Ί
I just can't control my watering mouth whenever I see a bar of snickers.
The sweetness is the genre π.
Twix na KitKat unazipenda pia?
Ila kuwa mwangalifu usije ukapata kitambi π.
Hahahaa.Zamani nilikuwa mdau wa KitKat ila Snickers ameshika hatamu na sioni mpinzani wa kumtoa ππ.
Twix sijawahi kuzipenda, ina mchanganyiko ambao haujaninogesha.
Aahahahahaa kitambi kinaniogopa, nakitoa barabarani kwenye kukimbiza upepo π . Sema pia kuna muda najisahaulisha sitaki kuziendekeza sana, huwa naacha nipate hamu halafu nikifululiza kula naipotezea.
Nilijiwekea namna ya kudhibiti hata mazagazaga mengine.
Halafu nimekumbuka, nilipata chimbo la Biriani sehemu 2 tofauti, moja ilikuwa ya kuku nyingine lamb. It was superb, ππππ.
Sikuchukua taswira π€ͺ.
Hahahaa.
Hapa huwa tunagombana wakati mwingine kisa gummy bears π€£.
Haribo Goldbears na Gatorade is π.
View attachment 3251097