Uzi wa vyakula tu



Mzigo full sealed...



Hizi ilikuwa kama raundi ya nne hivi, nilianza kuula palepale kabla haujapoa.



Hizo ndo zilibakia.... yaani nazidumbukiza kama karanga...😋😋😋😅😅😅😅 nzima nzima.



I know I can control myself ila kuna muda naamua kufuta ushahidi kabla siku haijaisha.


Hivi vidude vitamu na vinauraibu balaaa....😊
 
Cookies bar, iko tofauti na normal Twix candy bars?

Maybe I'll try it kama inautofauti na niliyoizoea.

Unapenda sana chumvi wewe....🤪🤪🤪
Hizo chumvi huwa naiba kutoka RaceTrac.

Na huwa zinatumika endapo inatokea nimeenda kwenye drive-thru ya fast food.

 
Hizo chumvi huwa naiba kutoka RaceTrac.

Na huwa zinatumika endapo inatokea nimeenda kwenye drive-thru ya fast food.

Ahahahahaa ntamwambia Kisura akwambie anaenda kukuoshea gari halafu azitupe zote 😅😅😅.
Pokea mwisho 2.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…