Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Mshana hawa jamaa wako wapi?Hivi shemeji yangu toka visiwani na mtaalamu wa mapishi kwenye uzi huu bwana @alibakar yu wapi siku hizi??
Najuta kupita apa nmepata njaa gafla na hivi leo sielew elew naona desh kabisa
Uwe unapika bwana! Sasa Saint Ivuga huwa anakula wapi?Najuta kupita apa nmepata njaa gafla na hivi leo sielew elew naona desh kabisa
[emoji23][emoji23]Uwe unapika bwana! Sasa Saint Ivuga huwa anakula wapi?
Irrelevant!Mi niko namtafuna mtu hapa niko goli la nne
[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23]
Wewe endelea kuteleza kwenye ganda la ndizi..huu uzi utakuwa umekosea kucommentMi niko namtafuna mtu hapa niko goli la nne
KaribuWewe endelea kuteleza kwenye ganda la ndizi..huu uzi utakuwa umekosea kucomment
Asante..ila uvegetarian mimi siuwezi..mboga everyday??!!!
Embu tupe na description..kuna nini na nini hapo??
anaongeza elimu moro. halafu simu yake iliharibikaHivi shemeji yangu toka visiwani na mtaalamu wa mapishi kwenye uzi huu bwana @alibakar yu wapi siku hizi??
Sio mboga ni majani.sipiki hizi.nakula kama mbuziAsante..ila uvegetarian mimi siuwezi..mboga everyday??!!!
Daah..ladha unaipata??Sio mboga ni majani.sipiki hizi.nakula kama mbuzi
[emoji123][emoji123][emoji123]Sio mboga ni majani.sipiki hizi.nakula kama mbuzi
Hizo mayonaizi nasikia ni special kwaajili ya hips na chura, ni kweli?
Ndio plus parachichi.Hizo mayonaizi nasikia ni special kwaajili ya hips na chura, ni kweli?
Aiseee.. Ndio maana huwa siyali nisije kuwa kama David BashNdio plus parachichi.
Ndio nimeweka pilipili manga,cayene pepper,chumvi,mayonaiz,Na vinegar ni tamu balaaDaah..ladha unaipata??