Uzi wa vyakula tu

labda unisaidie kama zina jina jingine linalofahamika zaidi hasa uswahilini, maana mimi nikiuliza broccoli watu wanabaki wanatoa macho jina jipya.
Hapana sifahamu jina lingine nenda kwenye masoko makubwa sio hayo ya uswahilin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…