Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,092
- 9,063
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo hii [emoji23][emoji23]
Nenda kwenye uzi wa walevi kule
Hata kama ila ushakunywa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie sio mlev bana naonja tu kidogo
Ndio. Mbili tu zinatoshaHata kama ila ushakunywa [emoji23]
Nipo sana kuna ujumbe unaupotezea tuMie mzima za kutokomea kusikojulikana
Ujumbe upi tena hebu nikumbusheNipo sana kuna ujumbe unaupotezea tu
Nije kukaa hapo?Nimefuta yote.. Nimebakisha hiiView attachment 952608
Hahahaa ninmeliona mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]umeliona wingu kwa chini? Naelea bila chopa
Mbona hujavunja mifupa
Kule ni kwa walevi sasa mi sio mleviHii ni ya kule kwa walipa kodi ngoja niipeleke
[emoji2][emoji2] sawaNatambua hili hata mimi si mlevi ila natoa lock daily
Karibu uonjeDah... Haya...! [emoji24][emoji24][emoji24][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]