Savage Dad
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 1,388
- 2,611
Hahaa! Viwonder au sio
Bwana wee!Naona unapambana na hali yako
Sawa endelea kunicheka[emoji23][emoji23][emoji23]
Shwari kabisa sijui huko uliko? KamandaNdo ivo nakucheki dingo.
Vipi shwari lkini?
Cha mtume.....[emoji1] [emoji1]
#Lifestyle View attachment 956301
Wapi supu??
Huku kuko poa sana bro.Shwari kabisa sijui huko uliko? Kamanda
Naam! Ila soseji nimenunuaHii umetengeneza mwenyewe
Aisee! Wapi huko?Huku kuko poa sana bro.
Joto Kali na samaki kwa wingi. Najifaidia majodar tu na nguru.
Hii chips ya kupika home hii,hua sio tam#Lifestyle View attachment 956301
Ng'ombe rost na viazHiyo ni kitimoto tu.
Nimekosea?