Mmmh sina hakikaBas wewe ukiona post ya ugali maharage unaipita ndo maana hujaona [emoji23][emoji23]
Kije mara ngapi..??[emoji1] [emoji1]
[emoji23][emoji23]Kwani huko kwenu wenzetu kila siku sikukuu[emoji85][emoji85][emoji85]
Loh niachie kidogo jomoniKaribuni tuleView attachment 964597
Njoo nitakupikiaLoh niachie kidogo jomoni
Sawa kiongoziHahahaa!
Zinapatikana huku Ikungulyabashashi.
Karibu sana...
Kama mimi situmiii kabisaMbona umu ndani sioni kande?
Huwa hamtumii nini?
Kutakuwa hakuna wapare humu ingawa kande unakula tu usife njaaMbona umu ndani sioni kande?
Huwa hamtumii nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umu wote wa kishua,Kutakuwa hakuna wapare humu ingawa kande unakula tu usife njaa
Tatizo la uzi huu wachangiaji wote wanakula vyakula vya kisasa. Sijaona vyakula vya asili vya makabila yetu humu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umu wote wa kishua,
3
Nimeipenda stylye yakoNataka leo Baba Debo akose nguvu za kunikamatilia kiuno, maana jana duh. Tumekesha.View attachment 964687
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji24][emoji24][emoji24]Nataka leo Baba Debo akose nguvu za kunikamatilia kiuno, maana jana duh. Tumekesha.View attachment 964687