Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,092
- 9,063
Unaosha kabla hujalikataUkiosha haiwi na mchuzi kweli?
Ila mimi naosha na nikipika haliwi na michuziDaah sijui kama nitaweza
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa hapo ni kwamba hujaoshaIla mimi naosha na nikipika haliwi na michuzi
Nzuri
View attachment 974265leo kwa Mara ya kwanza nimepika kalmat
Tamu..kuna wengine huwa hawaoshi basi inakuwaga nzitoooo unaiskia kabisa ile ladha hadi unasinzia kwa utamu..
Weekend umeanza mapema uwi..
Shukran.
Will make a trip and represent..
Kaimati[emoji39][emoji39].
Nimekosea shira wanangu wamekunywa kama mchuzi
Huwa inafanywaje inate?
Unaotengeza kwanza kabla ya kaimati usiweke maji mengi.
Alafu unasubiria kaimati zipoe kdg.
Vipi hawajambo watoto?
Wanangu wazima
Alhamdulillah
MaashaAllah Allah awazidishie uzima [emoji8][emoji8][emoji8].
Kwio anaonekana mtamu sana.
Aisee acha kabisa!
Huyu kwio alikuwa mtamu sana. Ukiwa pande hizi za kanda ya ziwa na recommend upacheki hapo.
Btw, nina niece wangu anawaitaga kuku ‘kwio’
Hahahaaa....
Nashushia chai na picha ya maandazi yako yale mkwe farkhina
NB.
Hii ni kwa wale wanaochangia kodi ya nchi kwa kupitia majani na maziwa [emoji1] [emoji1] Mshana JrView attachment 974842
Nashushia chai na picha ya maandazi yako yale mkwe farkhina
NB.
Hii ni kwa wale wanaochangia kodi ya nchi kwa kupitia majani na maziwa [emoji1] [emoji1] Mshana JrView attachment 974842