Nashangaa wanaume wanaotuponda humu jf . wanatamani tuwe nao au wapate wanawake kama sisi sema wamekosa wanaponda tu maskini .wenzao wanakula tu rahaDah
Jr[emoji769]
Hao ni wavulana sio wanaume... Wanaume wakomavu wanafahamu thamani ya mwanamkeNashangaa wanaume wanaotuponda humu jf . wanatamani tuwe nao au wapate wanawake kama sisi sema wamekosa wanaponda tu maskini .wenzao wanakula tu raha
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wanafanya eti mwanamke kuwa jf ni umalaya.kisa hatuchangii siasa.wanajua maana ya social media kweli?Hao ni wavulana sio wanaume... Wanaume wakomavu wanafahamu thamani ya mwanamke
Jr[emoji769]
Shida ni kwamba na nyie mnawapa airtime sanaYaani wanafanya eti mwanamke kuwa jf ni umalaya.kisa hatuchangii siasa.wanajua maana ya social media kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app