Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,092
- 9,063
Bila kisindikizio msosi hauliki
Sasa zinatengenezwa kwa ajili ya nini
Kwaajili ya kunyweshea mbuziSasa zinatengenezwa kwa ajili ya nini
Be Humble is free of charge [emoji873]
Ndo swali ambalo hata mimi namuuliza...Sasa zinatengenezwa kwa ajili ya nini
Be Humble is free of charge [emoji873]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asantee
Nimemiss pilau aseeh.
Sasa zinatengenezwa kwa ajili ya nini
Be Humble is free of charge [emoji873]
Nami nakuja.
Ndo nakuja sasa, utajua mwenyewe.
Nyumba unayoijua nimehama sijui atakuelekeza naniNdo nakuja sasa, utajua mwenyewe.
Nipe location basi na siku unayopika.
Uzi wa watu tusijetimuliwa mwenzaNipe location basi na siku unayopika.
Najua ulikohamia.