Ahsante Mkwe.Marhaba mkwe.
Kwa kweli umeni impress mkwe kwa kujifunza kupika.
Karibu sana Unguja mkwe.
THOMASS SANKARA usisome hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimependa haya maharage unaweza kunipa formula?
Mkwe naona unashirikiana na mabeberu kunihujumu.Marhaba mkwe.
Kwa kweli umeni impress mkwe kwa kujifunza kupika.
Karibu sana Unguja mkwe.
THOMASS SANKARA usisome hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah,nimechemsha hadi kuiva.
Halafu nikaweka tui,kitunguu maji ,saumu na tangawizi nimetwanga Na chumvi.
Nimeaubiria imechemka nkaweka tui zito kdg imechemka nimeepua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa thank you, nitajaribu kufanya hivi
Inaongeza nguvu!? [emoji85]TFF
Ilala, Karume na wazee wa mjini tukigusa Teveri from KinshansaView attachment 1004146
Hapo kwenye maini sasa mate yamenidondoka[emoji39][emoji39]Hahahaa! Ugali unalika kama mboga nayo ni nzuri. Mfano maini ambayo hayajakauka...
Merry brown
Jr[emoji769]