Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Hiyo label nyekundu tu hapo ndio nimeona
Asparagus √Hizo lettuce zisingekuwa na nyama zingenoga mno
Jr[emoji769]
Unaoishi nao wanafaidi sana asee msistee maana vitu vyako vime-graduate
Unaoishi nao wanafaidi sana asee msistee maana vitu vyako vime-graduate
Malainiii.. Sina meno mie nimeshazeekaWewe unapendeleaga yawe magumu au malaini?
Mkwe nahitaji trick ya kupika makaroni ya nyama na pia tambi nyama. Yaani Mwaka huu naweka rekodi, no more Mtaani food unless nipo mbali na kwangu
Mkwe nahitaji trick ya kupika makaroni ya nyama na pia tambi nyama. Yaani Mwaka huu naweka rekodi, no more Mtaani food unless nipo mbali na kwangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani sana!