[emoji39][emoji39][emoji39]
Chura anapenda maji ila sio ya moto.Shukrani sana!
Nasubiria sana.
Najua kuna Ndugu flani anatia sumu, lakini tutafika tu! Mimi Mkwe mtiifu gredi wani! Huwezi amini najua mpaka kula chapati za maji!
Halafu yule Ndugu una habari anaogopa kuvuka maji!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nataka zote mkwe,we wanijulia sana mkwe wako
Mkwe punguza wivu,kahawa inakuja.
Unataka cake ya banana au chocolate?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ulivyoona vijana wale wa vita club was Congo walivyo fanyana na mnyama wakiwa wametumia kimiminika hikoInaongeza nguvu!? [emoji85]
Jr[emoji769]
Aisee wp hii