Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,092
- 9,063
Umekumbuka asili eeh [emoji28]Dah... [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Jr[emoji769]
Kuona tu hili kande mate yamenijaa mdomoni..[emoji122][emoji122]
Nanaa
Karibuu
[emoji120][emoji120]Ntakualika nikipika aisee
Be Humble is free of charge [emoji873]
Haya maviungo ndo yamenishindaga kwny biriani, hapo nakung'uta naweka pembeni nakula nyama tu. Sijui ushambaView attachment 1016837
Be Humble is free of charge [emoji873]
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] Safi hivi tea masala ina mchanganyiko wa hivi vyote si ndiyo
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] Safi hivi tea masala ina mchanganyiko wa hivi vyote si ndiyo
Sent using Jamii Forums mobile app