Mama Mkwe wangu huyo.Duuh dada unapatikana wap nije unifundishe haya mapishi
Sana niombee nautaka huo ujuzi
Duuh dada unapatikana wap nije unifundishe haya mapishi
Haya dada nakuja
Samahani dada, mahitaji na mapishi ya chakula hiki imekaaje?
Samahani dada, mahitaji na mapishi ya chakula hiki imekaaje?
Asante.
Mdogo mdogo loh [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Usiku mwema
#Mweziwamapendo View attachment 1023599
Mdogo mdogo loh [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Jr[emoji769]
[emoji1][emoji1]Rip samaki mtamu[emoji39][emoji39][emoji39][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]
Jr[emoji769]
Naona mambo motomotoMaandalizi ya lunch karibuni nyote
Mkwe farkhina View attachment 1018874View attachment 1018875
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera
MLO swafi kabisa
Mambo ya mchemsho[emoji39][emoji39][emoji39] View attachment 1019691
MLO unavutia
Ugali wa MUHOGO (BADA) kwa SAMAKI wa chukuchuku.[emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 1020008
°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
Hapo pilipili inachangamsha kufanya Chakula kinukie uzuri, na ladha pia ya kukufanya ukifurahie Chakula